Posts

FAHAMU KUHUSU TEZI DUME NA JINSI YA KUONDOKANA NA TATIZO HILI.

Image
 Elimu ya tezi dume ni pana sana na inayohitaji umakini sana kuifuatilia, Kila mwanaume anazaliwa na Tezi dume. Tezi dume siyo ugonjwa bali ni kiungo kama viungo vingine mwilini. Tezi dume inapatikana katika mfumo wa uzazi wa mwanaume katika shingo ya kibofu cha mkojo. Kazi yake kubwa nikutengeneza majimaji ya uzazi wa mwanaume (shahawa), ambayo husaidia kurutubisha mbegu za kiume zilizo tengenezwa kutoka kwenye Korodani na husaidia mbegu za kiume kubaki hai kwa muda unaostahili. Tatizo linakuja kiungo hiki kinapoanza kutanuka. Kiungo hiki kinatanuka taratibu taratibu mno. Hili ni tatizo linalo wakumba wanaume wengi. Takwimu zinaonesha kwamba kati ya wanaume 10, wa 5 na kuendelea wana dalili za kutanuka kwa Tezi dume. Ukuwaji wa Tezi dume ni ile hali ya chembe chembe hai katika tezi ya kiume kukua bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili katika eneo linalo zunguka mirija ya kupitisha mkojo na mbegu za kiume.   Tatizo hili kwa sasa linawapata wanaume kuanzia umri wa mi

FAHAMU KUHUSU NGUVU ZA KIUME NA JINSI YA KUONDOKANA NA TATIZO HILO.

Image
Familia nyingi kwasasa zina changamoto ya mfumo wa uzazi. Leo hii tunaenda kuzungumzia mfumo mzima wa uzazi wa mwanaume husus Takwimu za afya zinaonesha kati ya wanaume 10 miongoni mwao 7 wana tatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Tatizo hili linazidi kuongezeka kwa kasi kubwa, na lilikuwa linawakumba sana watu wazima kuanzia umri wa miaka 35 – 75+ Lakini kwa sasa Tatizo hili linajitokeza kuanzia umri wa Miaka 25 Tatizo hili la upungufu wa nguvu za kiume Limegawanyika katika makundi Matatu ambayo huhusiana kwa ukaribu sana Makundi haya ni kama yafuatayo:, - Shahawa (sperms) hazina uwezo wa kutunga mimba.Pia kuwa na shahawa nyepesi sana kama maji. - Ukosefu wa hamu ya tendo la ndoa. Ikitokea umepata hamu hata kidogo shahawa zinawahi kutoka.Yaani kuwahi kufika kileleni. Hapa pia tunapata aina mbili. ➤ KUWAHI KUFIKA KILELENI KABLA YA TENDO LA NDOA (Pre Ejaculation) Hili hutokea pale mwanaume anafika kileleni hata kabla ya kuanza tendo na hushindwa kusimamisha tena uume.