FAHAMU KUHUSU NGUVU ZA KIUME NA JINSI YA KUONDOKANA NA TATIZO HILO.



Familia nyingi kwasasa zina changamoto ya mfumo wa uzazi. Leo hii tunaenda kuzungumzia mfumo mzima wa uzazi wa mwanaume husus

Takwimu za afya zinaonesha kati ya wanaume 10 miongoni mwao 7 wana tatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Tatizo hili linazidi kuongezeka kwa kasi kubwa, na lilikuwa linawakumba sana watu wazima kuanzia umri wa miaka 35 – 75+
Lakini kwa sasa Tatizo hili linajitokeza kuanzia umri wa Miaka 25
Tatizo hili la upungufu wa nguvu za kiume
Limegawanyika katika makundi Matatu ambayo huhusiana kwa ukaribu sana
Makundi haya ni kama yafuatayo:,

- Shahawa (sperms) hazina uwezo wa kutunga mimba.Pia kuwa na shahawa nyepesi sana kama maji.
- Ukosefu wa hamu ya tendo la ndoa. Ikitokea umepata hamu hata kidogo shahawa zinawahi kutoka.Yaani kuwahi kufika kileleni.
Hapa pia tunapata aina mbili.

➤ KUWAHI KUFIKA KILELENI KABLA YA TENDO LA NDOA (Pre Ejaculation)
Hili hutokea pale mwanaume anafika kileleni hata kabla ya kuanza tendo na hushindwa kusimamisha tena uume.
➤KUWAHI KUFIKA KILELENI WAKATI WA TENDO LA NDOA (Early Ejaculation)
Hii hutokea pale mwanaume anapowahi kufika kileleni wakati wa tendo na hushindwa kumridhisha mwenzi wake na pia hushindwa kurudia tendo.
Wengine wanapata hamu ya tendo la ndoa lakini hawatoi shahawa.
- Uume kutosimama.
Hutokana na mwanaume kushindwa kabisa kusimamisha uume wake, Tatizo hili huambatana na changamoto ya uume kusinyaa au kuwa mdogo,
Mishipa ya uume kulegea na uume kutokuwa strong ukisimama.



II. CHANZO CHA MATATIZO YA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Upungufu wa nguvu za kiume sio ugonjwa, ila ni kama indicator inayoonesha kwamba kuna baadhi ya viungo ndani ya mwili wa binadamu ambavyo vinahusika na suala zima la nguvu za kiume havifanyi kazi vizuri.
Baadhi ya hivyo viungo vinavyo husika na nguvu za kiume ni: Moyo, Ini, Figo, Ubongo, Mishipa ya Damu, Korodani, Tezi dume, Misuli,n.k.
Kunapo kuwa na hitilafu kwenye viungo hivi ndiyo vinapelekea moja kwa moja mtu kupata changamoto ya  nguvu za kiume.

Hivi ni baadhi ya vitu vinavyo sababisha viungo tulivyo taja hapo juu kutofanya kazi vizuri na baadae kusababisha matatizo mbali mbali ikiwemo vifo.
Kuwa makini na vitu vifuatavyo:
- Uvutaji wa sigara, na utumiaji wa dawa za kulevya
- Pombe (aina yeyote).
- Masturbation (Kujichua, au kupiga punyeto)
- Kula vyakula venye kuharibu mfumo wetu wa mmeng’enyo wa chakula (Digestive System).
Huu mfumo ukiharibika unasababisha damu kutosafirishwa vizuri mwilini.
- Uzito mkubwa au kitambi
- Tatizo la Kutokupata choo vizuri (Constipation)
- Tatizo la Tezi dume
- Matatizo ya moyo
- Kisukari (Diabetes)
- Stress, Pressure, Chorestrol
- Hormony imbalanced
- Kukaa kwa muda mrefu
- Kutumia sana madawa yenye kemikali kama dose za mda mrefu kama kisukari na pressure,
 Hapa unatakiwa kuwa makini na kukumbuka kwamba mili yetu haijaumbwa kwajili ya madawa ya kikemikali. Mili yetu iliumbwa ili iweze kujitengenezea kinga kupitia vyakula tunavyo kula vyenye lishe na virutubisho; siyo madawa ya kikemikali au mitishamba.
 Tunaenda hospitalini kwasababu hakuna njia mbadala lakini unaweza kupatiwa msaada kuondokana na addiction hiyo. Kama wewe unahitaji kuwa na afya bora na ujiepushe na magonjwa mbali mbali, unashauriwa kujenga utaratibu wa kupatia mwili wako lishe kamili na virutubisho muhimu.

III. DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Na tunapo ongelea suala la upungufu wa nguvu za kiume tunamaanisha:
- kukosa hamu ya tendo la ndoa
- Kukosa pumzi wakati wa tendo yaani ufanyapo tendo lenyewe
- Uwezo wa kushindwa kurudia tendo la ndoa
- Uume kusimama kwa ulegevu (Kulegea kwa mushipa ya uume)
- Kuwahi kufika kileleni yaani Kabla ya tendo na wakati wa Tendo pia
- Kuchelewa sana kufika kileleni na hii hutokea sana kwa mwanaume mwenye upungufu wa Shahawa.Mwanaume mwenye tatizo hili huweza kutumia mpaka Saa moja na nusu  kwa mzunguko mmoja na hata afikapo kileleni hutoa shahawa kidogo sana na pia hukosa hamu ya tendo la ndoa pia. Kuchelewa huko kumwaga shahawa humpa ukavu mwanamke na maumivu makali wakati wa tendo hali ambayo humfanya mwanamke kutorudia tendo.
Hali hii ikitokea mara kwa mara kwa mwanamke humkosesha hamu ya tendo kabisa. Mara nyingi wanawake hupata tatizo hili lakini huwa ni vigumu kumweleza mwanaume wake kwa kulinda tuu mahusiano yake na kuanza kujuta japo hatakwambia kwa sababu ni aibu kwake; na wewe pia hutofurahiya tendo la ndoa kwa kukosa ushirikiano na  Utaathirika kisaikolojia kwa njia moja au nyingine
- Kuchoka sana baada ya tendo au kujisikia kichefuchefu, wakati mwingine wengi hua wanajihiisi kutapika.

IV. MADHARA YA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Kabla hatujaenda kutiririka baadhi ya madhara yanayotokana na upungufu wa nguvu za kiume, kuna kitu muhimu sana kwa wanandoa au wapenzi wanastahili kukijua.
 Mwanamke ni kiumbe cha ajabu sana na aliumbwa na uwezo wakuweza kukojoa zaidi ya mara 5, endapo wewe utaweka sawa afya yako na kujuwa ni vitu gani unastahili kufahamu. Ili mwanamke akojoe kwa mshindo wa kwanza ni lazima uume wako uweze kusimama angalau dakika 5 – 10 ukiwa unachezesha uume wako kwenye mashavu ya uke.
Wanawake wanapenda sana kuchezewa kwenye mashavu ya uke kwa kutumia uume, siyo vinginevyo. Wanaume wengi wanashindwa kuwaridhisha wenzao kwasababu ya upungufu wa nguvu zao za kiume huwapelekea kutumia baadhi ya madawa au Viagra  ili angalau waweze kuwaridhisha wenzao jambo ambalo si sahihi kwani wengi wao hujikuta kuwa ni wahanga wa matumizi ya hivyo vitu pekee na ndo huweza kuhimili tendo.

   Ukweli thabiti ni huu: endapo unakuwa na afya nzuri ya mfumo wa uzazi, utaweza kusimamisha uume wako na kumridhisha kiurahisi bila kutumia nguvu nyingi kwa kila mshindo.
 Hivyo basi usihangaike kwenda kwa waganga (kalumanzira),  kwasababu suala zima ni kwamba unajali vipi afya yako?
Mfumo wako wa uzazi ukiwa haufanyi kazi vizuri, utapata madhara yafuatayo:
- Dharau kwa mwenzi wako na inaweza kuwa ya moja kwa moja au si moja kwa moja.
- Kushindwa kumridhisha mwanamke. Hili tatizo linampelekea kutoka nje ya ndoa na baadae kuachika
- Kushindwa kupata mtoto
- Kushindwa kupata ladha kamili ya tendo la ndoa
- Kuchoka haraka wakati wa tendo la ndoa
- Uume kusimama kwa ulegevu
- Fujo kila kukicha. Shida hamzitatuwi kama watu wazima, na maranyingi hamuelewani hata kidogo. Wengine wanaenda kwa waganga, makanisani na kwa mashekhe ili wapate suluhisho la ndoa zao (Heshima ya ndoa hushuka)
- Kutoka nje ya ndoa (jinsia zote). Vitu unavyoenda kutafuta havieleweki, havina msingi; bali unakaribisha matatizo juu ya mengine na kukaribisha maradhi katika ndoa.
- Ndoa kusambaratika, na kurandaranda kila sehemu.
 Unajishushia heshima mwenyewe bila kujitambuwa.

NB;Ipo dhana potofu ambayo wanaume na wanawake huamini kukosa hamu ya tendo la ndoa hutokana na mtu kuwa kwenye mahusiano na mtu mmoja kwa mda mrefu zaidi.
Dhana hii ni potofu na haina ukweli.
- Madhara mengine ni Uume kusinyaa na kupoteza ubora na ukakamavu

V. SULUHISHO THABITI NA LA KUDUMU

Mili yetu ni sawa na kiwanda. Kiwandani kuna vitu vingi sana: kuna mashine, wafanyakazi, umeme, maji, n.k. Kinapokosekana kimoja kati ya hivyo kiwanda hakiwezi kufanya kazi vizuri. Ndivyo vivyo kwenye mili yetu tukija kwenye upande wa nguvu za kiume. Nguvu za kiume ni kama kiwanda na baaadhi ya organs katika mwili zisipofanya kazi yake vyema basi matokeo yake huwa ni  upungufu wa nguvu za kiume kwa ujumla.
Hivyobasi, kwa watu wenye changamoto hii ya upungufu wa nguvu za kiume, kampuni tumewaandalia  program ya tiba lishe kamili na virutubisho muhimu.
Bidhaa hizi ni vyakula, siyo dawa wala mitishamba.
 Zimetengenezwa kutoka kwenye vyakula ambavyo tungefaa kula kila siku, na vina lishe kamili na virutubisho muhimu katika mili yetu inavyo hitaji ili iweze kutengeneza yenyewe afya bora na nadhifu.
Virutubisho hivi vipo katika makundi mawili. Virutubisho vya kusafisha mfumo wa mwili na virutubisho vya kuboresha afya ya uzazi na nguvu za kiume.

Kama tulivyo tazama  moja ya vyanzo vya tatizo la nguvu za kiume ni  sumu zitokanazo na vyakula, vinywaji, hewa na madawa ammbayo huchangia  kwa kiwango kikubwa tatizo hili. Hivyo basi virutubisho maalumu kwaajili ya kusafisha mfumo wa mwili vimeandaliwa na ambavyo  hufanya kazi zifuatazo;
•Kuondoa sumu mwilini
•Kuondoa gesi tumboni
•Kuondoa tatizo la kukosa choo na constipation
•Kurekebisha  na kuweka sawa homoni mwilini
•Kusafisha utumbo uliochafuka
•Kurekebisha sukari na afya ya kongosho
•Kurejesha hamu ya kula
•Kuondoa uchovu wa mara kwa mara na ukosefu wa usingizi
•Kuongeza madini ya Zinc mwilini hivyo kusaidia utendaji kazi mzuri wa viungo vya uzazi

Lakini pia virutubisho vya kuboresha afya ya uzazi na nguvu za kiume vina faida nyinginezo mwilini kama vile.

1. Kirutubisho cha Argi+ husaidia kwenye kuondoa sumu mwilini kutokana na matunda ya berries na komamanga.
2. Hutanua mishipa ya damu na kurekebisha msukumo wa damu hivyo kusaidia afya ya moyo na magonjwa ya moyo pamoja na pressure.
3. Husaidia kurekebisha matatizo ya nguvu za kiume maana damu kutembea vizuri ndio kila kitu kwenye hilo eneo, 
4. Itasaidia kwenye kujenga mifupa na misuli hasa hasa kwa wale wanaofanya mazoezi sana.
5. Husaidia kwenye kupunguza kiwango cha Cholesterol kwenye damu.
6. Huusaidia mwili kutengeneza homoni zinazopunguza kuzeeka kwa haraka kupita umri wako.
7. Husaidia kila mfumo wa mwili na hivyo kukupa afya njema na kuepuka magonjwa yasiyoambukiza.
8. Husaidia INI katika zoezi la kutoa sumu mwilini 
9. Kusaidia kuzuia ukuaji wa Tezi dume,na pia kusaidia kuzalisha mbegu zenye afya
10. Husaidia kuimarisha mishipa ya uume na kuwa yenye nguvu na imara, hivyo kuondoa tatizo la kumaliza mapema tendo la ndoa na pia kuwa na nguvu imara ya kukuwezesha kulifanya tendo kwa mda mrefu na kwa kurudia mara nyingi zaidi

NB;Kumbuka hivi ni virutubisho si dawa, na havina kemikali hatarishi ni vya asili 100%

Virutubisho hivyo vyote vina mchanganyiko wa; Proteins, Vitamins, Minerals, Essential Fat Acid and Trace minerals.
Ambavyo huenda kufanya kazi ya kuboresha afya yako ya uzazi na kuimarisha mfumo wako mzima wa uzazi na kukufanya kuwa imara.

KWA MTU YEYOTE ANAYEHITAJI KUBORESHA AFYA YA UZAZI NA NGUVU ZA KIUME.

                                    MAWASILIANO YETU;

                                        +255654399788

                                        +255763006605

Comments

Popular posts from this blog

FAHAMU KUHUSU TEZI DUME NA JINSI YA KUONDOKANA NA TATIZO HILI.